Henrikh Mkhitaryan Rasmi Old Trafford. N Charles Kunji Mshambuliaji wa Borussia Dotmund Henrikh Mkhitaryan amekamilisha dili na klabu ya Manchester united kwa uhamisho wa paund mil 26. Henrikh Mkhitar…
Mabwenyenye wa england wakamilisha dili jingine.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Manchester city kukamilisha dili na MORITO. N Charles Kunji Mshambuliaji wa timu ya taifa ya hispania anayekipiga katika klabu ya Celta Vigo amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya nchini england timu…
Ryan Giggs kuondoka Man United
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
GIGGS KUONDOKA KLABU YA MANCHESTER UNITED. Na Charles Kunji. Ryan Giggs amefikisha kikomo cha muda wake wa kuhudumu katika klabu ya Manchester United baada ya kukubali kuondoka kupitia makubaliano. Un…
Joseph Omog arudi tena ardhi ya bongo.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Joseph Omog amwaga wino kwa wekundu wa msimbazi. Na Charles Kunji. Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Joseph Omog kama kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi baada ya timu hiyo kudumu kwa m…
ubelgiji yatupwa nje ya mashindano.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wales wajihakikishia nafasi ya kusonga mbele. Na Charles Kunji. Michuano ya Euro hatua ya robo fainali imendelea tena kwa mchezo wa pili ambapo timu ya taifa ya Wales imeichabanga vvilivyo timu ya …
Ureno haaaaaooo. nusu fainali.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
POLAND WATUPWA NJE YA MASHINDANO. Na Charles Kunji Mashindano ya EURO yameendelea tena usiku, timu ya ureno waliokuwa wanacheza dhidi ya Poland na kushuhudia Ureno wakifuzu hatua ya nusu…
Mambo bado magumu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dakika 90 bado sare. Na Charles Kunji Mechi kati ya ureno dhudu ya poland dakika 90 za mwamuzi zimemalizika na timu zote kufungana goli 1-1 na hivyo mwamuzi kuamuru dakika zingine 30 zipigwe. Na enda…
Wasiwasi kumhusu Hazard Euro 2016
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wasiwasi kumhusu Hazard Euro 2016 Na Charles Kunji. Timu ya taifa ya Ubelgiji inasubiri kwa muda kubaini iwapo mchezaji wao tegemezi Eden Hazard ataweza kuwachezea mechi muhimu ya Euro 2016 dhid…
safari ya yanga bado inaendelea.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Yanga yapata ahueni. Na charle kunji. Baada ya kuishuhudia klabu ya yanga kushindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani na kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa mabingwa wa afri…
mazembe yatwaa pointi tatu ugenini.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
yanga yakubali kichapo picha na shaffih Na Charles Kunji. Hakika ngoma ya mwana haikeshi, na ushindi wa klabu ya yanga wa kwanza katika mashindano ya shirikisho barani afrik…
ROY HODGSON ABWAGA MANYANGA ENGLAND
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
ROY HODGSON ABWAGA MANYANGA ENGLAND Na Charles Kunji. Roy Hodgson amejiuzuluzu kama kocha mkuu wa England baada ya kikosi chake kuchezea kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Iceland kwenye mchezo wa hatua …
england nao wakusanya kilichochao tayari kwa safari ya kurudi kwao.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Iceland yafuzu kwenye mgongo wa England Na Charles Kunji. Baada ya kuishuhudia Hispania ikitupwa nje ya mashindano ya EURO yam waka huu yanayofanyika huko ufaransa, Timu ta taifa ya England nao wamef…
hispania yatupwa nje ya mashindano.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Italy kufuta uteja dhidi ya hispania. Na Charles Kunji Hakika ule msemo usemao, mtu hawezi kufa mara mbili umeweza kujidhihirisha katika dimba la stade de france baada ya kushuhudiwa mabingwa…
Wengine wamfuata messi
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya LIONEL MESSI, wengine wakafuta. Na Charles Kunji. Hii ni siku mbaya kwa soka la Argentina, baada ya kushindwa kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa fainali dhi…
Fainali kugeuka hatua ya mtoano.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
FAINALI EURO 2012 YARUDISHWA HATUA YA MTOANO Na Charles Kunji Michuano ya EURO2016 inaendelea leo huko nchini ufaransa kwa kuzikutanisha timu ya Italy kuwavaa SPAIN ikiwa ni marudio ya mech…
Messi kustaafu soka la kimataifa.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MESSI KUSTAAFU TIMU YA TAIFA. Na Charles Kunji. Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kucheza soka la kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani…
Diamond platnumz
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aikosa tuzo huko MAREKANI Na Charles kunji. Tuzo za BET zinaendelea kutolewa leo usiku Los Angeles Marekani ambapo tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Afri…
Vita kubwa ipo jijini Lyon
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
EURO 2016 16 BORA: JE, JAMHURI YA IRELAND KUFUTA REKODI MBOVU MBELE YA FRANCE LEO? Hatua ya 16 bora ya michunao ya Euro mwaka 2016 inaendelea tena leo, ambapo michezo mitatu tena itapigwa katika viwa…
Mwendelezo wa hatua ya mtoano EURO2016
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MATOKEO NA MECHI ZA LEO. Na charles Kunji Michezo ya hatua ya mtoano yaani kumi na sita bora imeanza katika viwanja tofauti ambapo kwa michezo ya jana tulishuhudia Uswisi wakawez…