SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Mambo bado magumu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dakika 90 bado sare. Na Charles Kunji Mechi kati ya ureno dhudu ya poland dakika 90 za mwamuzi zimemalizika na timu zote kufungana...

Dakika 90 bado sare.






Na Charles Kunji

Mechi kati ya ureno dhudu ya poland dakika 90 za mwamuzi zimemalizika na timu zote kufungana goli 1-1 na hivyo mwamuzi kuamuru dakika zingine 30 zipigwe.
Na endapo dakika 120 zitamalizika kwa sare hii, basi matuta ndio yataamua nani wa kwenda katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya EURO.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top