SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Ureno haaaaaooo. nusu fainali.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
              POLAND WATUPWA NJE YA MASHINDANO. Na Charles Kunji Mashindano ya EURO yameendelea tena usiku, timu ya ureno waliokuw...
              POLAND WATUPWA NJE YA MASHINDANO.





Na Charles Kunji


Mashindano ya EURO yameendelea tena usiku, timu ya ureno waliokuwa wanacheza dhidi ya Poland na kushuhudia Ureno wakifuzu hatua ya nusu fainali baada ya dakika 120 timu zote kutoshana nguvu ya goli 1-1.
Goli la Poland lilifungwa na nahodha wao Lewandosk wakati goli la ureno likifungwa na Sanchez.
Wakati mechi inaendelea kwenye dakika 30 za nyongeza, pasipo kutarajia, katika dakika ya 108 shabiki mmoja alithubutu kuingia uwanjani kwa ajili ya kumshika Christian Ronaldo ingawaje maaskari waliokuwako walimdhibi ipasavyo.

Michuano mingine itaendelea tena kesho wakati timu ya taifa ya Wales watachuana vikali na timu ya taifa ya ubelgiji wakati robo fainali nyingine itaendelea tena siku ya jumamosi wakati timu ya taifa ya Italia walio chini ya mwalimu Antonio Conte watakutana na vijana wa Joachim Low timu ya taifa ya Ujerumani na mechi ya mwisho y6jumapili wakati wenyeji wa mashindano hayo timu ya taifa ya Ufaransa watawavaa timu ya taifa ya Iceland kumtafuta atakayeendelea hatua ya nusu fainali ya EURO.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top