
Kama
wanachama wa kamati ya maandalizi ya kombe hilo, wanatuhumiwa kufanya
udanganyifu, ulanguzi wa fedha na utumiaji mbaya wa fedha.
Baadhi
ya uhalifu huo ulitekelezwa katika taifa la Uswizi.
Bwana
Backenbauer ambaye aliongoza ombi hilo amekana kuhusika na ufisadi.
Mnamo
mwezi Oktoba, alisema kuwa alifanya makosa katika shughuli yote ya ombi hilo
mwaka 2000, lakini akakana kwamba kura zilinunuliwa.
Mnamo
mwezi Machi, Shirikisho la soka duniani Fifa lilianza kuwachunguza watu sita
kwa jukumu lao katika ushindi wa kuandaa haki za kombe hilo la dunia mwaka
2006.
Post a Comment