Butland,
23, had alifanyiwa upasuaji mwezi March baada ya kupata majeraha wakati England
iliposhinda kwa jumla ya goli 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Ujerumani.
Jeraha
hilo limerehjea tena na hajacheza mchezo hata mmoja tangu msimu mpya umeanza.
Stoke
ililazimika kufanya usajili wa golikipa wa klabu ya Derby, Lee Grant sikun ya
mwisho ya dirisha la usajili kutokana na hali hiyo ya Butland.
"Nitakuwa
na upasuaji mdogo wa ankle siku ya jumatatu” Butland aliandika kwenye mtandao
wa jamii.
"Badala
ya kuendelea kucheza na kuweza kupata majeraha zaidi ya haya yatakayoniweka
muda mrefu nje, ni bora nifanye hiki nilichokiamua kushirikiana na daktari
wangu” Alisema.
Shay
Given 40, amecheza kila mchezo na anatarajiwa kuendelea kuitetea nafasi yake ya
ugolikipa kwenye mechi zingine zijazo.
Post a Comment