SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: KAYLE WALKER; TULIJIFUNZA KITU KWENYE FAINALI ZA EURO.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
BEKI tegemezi wa timu ya Tottenham Spurs na timu ya taifa ya Enland Kyle Walker amesema timu ya England imejifunza jambo kubwa sana kw...
Image result for kyle walker images


BEKI
tegemezi wa timu ya Tottenham Spurs na timu ya taifa ya Enland Kyle Walker amesema timu ya England imejifunza jambo kubwa sana kwa wababe hao kutolewa mapema kwenye mashindano ya EUROS ya mwaka huu yaliyofanyika nchini Ufaransa.

England walitupwa nje katika hatua ya mtoano baada ya kulazwa na timu changa ya Iceland kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.

Hata hivyo, Walker hakuweka hadharani ni kipi ambacho wamejifunza ila ameishia kusema wamejifunza kitu kikubwa ambacho kitawasaidia katika siku za usoni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top