
N Charles Kunji
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya hispania anayekipiga katika klabu ya Celta Vigo amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya nchini england timu ya Manchester City watakaokuwa na Pep Guardiola msimu ujao akiongoza benchi la ufundi la klabu hiyo ya wingereza.
Nolito mwenye umri wa miaka 29 amemwaga wino kuihudumu timu hiyo kwa karandarasi ya miaka minne kwa paund mil 13.8
Nolito anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Pep Guardiola baada ya kuwatanguliza Ikel Gundogan kutoka klabu ya Borrusia Dotmund kwa kitita cha paund mil 20 pamoja na beki wa Australia Aaron Mooy
Post a Comment