SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Joseph Omog arudi tena ardhi ya bongo.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Joseph Omog amwaga wino kwa wekundu wa msimbazi. Na Charles Kunji. Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Joseph Omog k...
Joseph Omog amwaga wino kwa wekundu wa msimbazi.





Na Charles Kunji.


Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Joseph Omog kama kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi baada ya timu hiyo kudumu kwa muda mrefu chini ya Jackson Mayanja aliyeajiriwa kama kocha msaidizi.
Omog ambaye ni raia wa Cameroon amesaini mkataba wa miaka miwili kuhudumu Simba kuanzia Julai 1, 2016.
Kocha huyo amerudi kwa mara ya pili kwenye ardhi ya Bongo na VPL baada ya awali kuifundisha klabu ya Azam FC na kufanikiwakuipa taji la ligi kuu kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo msimu wa 2013-14.
Katika hatua nyingine, klabu ya Simba pia wamemtambulisha Katibu Mkuu wao Bw. Patrick Kahemele ambaye kwa mujibu wa mkataba wake ameanza kazi rasmi Julai 1, 2016.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top