SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: JE, SIMBA AMA YANGA ATAKAYEIBUKA MBABE WA KUCHOMA MWIBA KWENYE KICHWA CHA MWENZIWE.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MAPINDUIZ cup imefikia patamu ambapo leo kutakuwa na michezo ya nusu fainali ikifanyika huku macho na masikio ya mashabiki wengi ni ku...

MAPINDUIZ cup imefikia patamu ambapo leo kutakuwa na michezo ya nusu fainali ikifanyika huku macho na masikio ya mashabiki wengi ni kuiona ile dabi ya Kariakoo yaani Simba vs Yanga.

Hawa ni watani wa jadi wa soka la hapa bongo na leo katika nyasi za uwanja wa Amaani mjini Zanzibar, ni dakika 90

ama 120 za mwamuzi ndizo zitakazoamua ni nani ataweza kuibuka na ushindi.

Nusu fainali ya kwanza itawakutanisha wababe wa Zanzibar, Taifa Jang’ombe watakaocheza na mabingwa wa Africa mashariki na kati, timu ya Azam wakati dabi ya Kariakoo itakuwa saa mbili usiku.

Maoni yako ni ya muhimu sana kueleka mtanange huo utakaokuwa wa vuta nkubute.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top