
Na Charles Kunji.
Baada ya kuishuhudia Hispania ikitupwa nje ya mashindano ya
EURO yam waka huu yanayofanyika huko ufaransa, Timu ta taifa ya England nao
wamefuta nyayo za hispani baada ya kukubali kichapo cha 2-1 dhidi ya timu ya
taifa ya Iceland.
Magoli ya Iceland yametiwa kimyani na Ragnar Sigurdsson katika dakika ya 6
akisawazisha goli la nahodha wa England aliyefunga kwa mkwaju wa penalty na katika dakika ya 19 na mpaka filimbi ya
mwamuzi inapulizwa bado ubao ukawa unasomeka hivyo na hivyo Iceland ikifuzu
hatu ya robo fainali.
Post a Comment