Licha ya kucheza kwenye kiwango bora na kuumiliki mpira dakika zote 90, Mbeya City fc imepoteza mchezo wake wa kujipima nguvu mbel...
SEVILLA; Tunatoa Kitu, Tunaingiza Kitu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni kamsemo kanakojitokeza baada ya klabu ya Sevilla kumruhu Kevin Gameiro kutimkia klabu ya Atletico Madrid, na sasa wamemsainisha fow...
Karius Nje Kwa Majuma 10.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Golikipia wa klabu ya Liverpool Loris Karius raia wa Ujerumani, anatazamiwa kukaa nje kwa majuma kumi baada ya kuvunjika mkono kwenye me...
Johana Konta Atupwa Nje Ya Mashindano.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mcheza tenis namba moja nchini Wingereza Johhana Konta ametupwa nje ya mashindano ya Rogers Cup yanayoendelea huko Canada kwa jumla y...
Chris Coleman Ahusishwa Kujiunga Na Hull.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa sasa wa timu ya taifa ya WALES Chris Coleman, amehusishwa kujiunga na klabu ya Hull city inayoshiriki ligi kuu ya England. Mp...
Kevin Gameiro: Rasmi Atletico Madrid.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kuinasa saini ya fowadi Kevi Gameiro raia wa Ufaransa kwa wahasimu wao timu ya Sev...
SIMBA SC FANS WAKISHINIKIZA MO APEWE TIMU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mashabiki wa klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba wamekusanyika makao makuu ya klabu hiyo maeneo ya Kariakoo mtaa wa Msimbazi wakis...
Haya Ni Maneno Ya Busara Ya Schweinsteiger Baada Ya Kustaafu Soka La Kimataifa.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa baada ya kucheza michezo 120 kwa taifa ...
KLOPP AMEFUNGUKA JUU YA MATUMIZI YA PESA NYINGI KWENYE USAJILI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesisitiza kwamba yeye si muumini wa matumizi makubwa ya fedha linapokuja suala la usajili wa wachezaji ...
Claudio Ranieri: Tunafahamu Jinsi Ya Kuziba Pengo La Kante.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkufunzi wa mabingwa wa EPL, Claudio Ranieri amesema kuondoka kwa Kiungo wao Ngolo Kante hakuna haja ya kuthibitisha ya kuwa litakuwa...
MO Ataja Sababu Zake za Kutaka Kununua Klabu Ya Simba.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bilionea wa kitanzania Mohammed Dewji ‘MO’ ambaye ni mkurugenzi mtendaji na rais wa makapuni ya Mohammed Interprises (MeTL) amevunja ukim...
Mashindano ya Rogers Cup Yazidi kushika kasi.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mcheza tenisi nambari moja nchini Wingereza Johana Konta ametinga hatua ya robo fainali ya Rogers Cup yanayoendelea huko nchini Can...
Bastian Schweinsteiger Aruhusiwa Kutafuta Timu Nyingine.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bastian Schweinsteiger, raia wa Ujwerumani aliyeiongoza timu ya taifa ya Ujerumani kutwaa kombe la dunia mwaka 2014, nafasi yake ka...
Wendell Lira aamua kutundika njumu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mchezaji wa Brazil aliyepewa Tuzo mwaka 2015 kwa kufunga Goli bora kabisa ameamua kupumzika kucheza soka. Wendell Lira mwenye mi...
TEVEZ KATHIBITISHA KUPOKEA SIMU YA ANTONIO CONTE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa Boca Juniors Carlos Tevez amethibisha kupokea simu kutoka kwa Antonio Conte akitaka kusajili kwenye klabu ya Chelsea. S...
Johanna Konta asonga mbele Rogers Cup
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mcheza Tenisi nambari moja kwa Uingereza Johanna Konta ameifikia hatua ya tatu ya Rogers Cup kwa kumchapa Mmarekani Vania King. Mwana d...
Jurgen Klopp Awasisitizia Wachezaji wake Suala la Nidhamu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp, ametanabaisha sababu za kumrudisha nyumbani beki wake Mamadou Sakho badala ya kubaki naye kati...
Guardiola Na Mbio Za Kuandaa Timu Bora.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha mpya wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola, ameandikisha ushindi wake wa kwanza tangu atue Manchester City baada ya kuwaongoza...
Wachezaji wa Manchester City wapigwa Marufuku Baadhi ya Vyakula.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pep Guardiola amewasimamisha baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha Manchester City kufanya mazoezi kufuatia kuongezeka uzito kupita kiasi...
Medeama yaitupa Yanga Nje Ya Mashindano.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Yanga imeshindwa kutamba kwa mara nyingine tena kwenye michuano ya kimataifa baada ya kukubali kipigo cha bao 3-1 mbele ya kwenye mche...
HIGUAIN Rasmi Ndani Ya Juve.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa wa ligi kuu ya Italia, Juventus wamekamilisha dili lao la kumsajili Gonzalo Higuain kutoka Napoli kwa ada ya euro mil 90. Hi...
Lyon Wambania Lacazette Kujiunga na The Gunners.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka Olympique Lyon imekataa ombi la Euro milioni 35 kutoka Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette. Mche...
Afrika kuongezwa nafasi 2 zaidi Kombe la Dunia.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bara la Afrika litatunukiwa nafasi nyengine mbili zaidi iwapo dimba la dunia litaongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki hadi 40 kuan...