SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Wendell Lira aamua kutundika njumu.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mchezaji wa Brazil aliyepewa Tuzo mwaka 2015 kwa kufunga Goli bora kabisa ameamua kupumzika kucheza soka. Wendell Lira mwenye mi...





Mchezaji wa Brazil aliyepewa Tuzo mwaka 2015 kwa kufunga Goli bora kabisa ameamua kupumzika kucheza soka.

Wendell Lira mwenye miaka 27 ambaye ufundi wake wa kufunga Goli kwa namna ya sarakasi ulimfanya kung'ara zaidi akiwapita Lionell Messi na Carlos Tevez

Wendell amesema anataka sasa kujikita zaidi katika biashara ya Video Game yaani kucheza soka kwa teknolojia

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top