
Mcheza tenis namba moja nchini Wingereza Johhana Konta ametupwa nje ya mashindano ya Rogers Cup yanayoendelea huko Canada kwa jumla ya seti 6-4 6-3 na raia wa Slovakia Kristina Kucova
Kucova atakutana na raia wa Marekani Madison Keys katika hatua ya nusu fainali wakati nusu fainali nyingine itawakutanisha Simona Halep raia wa Romania akikipiga na raia wa Australia Angelique Kerber
Post a Comment