SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Kevin Gameiro: Rasmi Atletico Madrid.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kuinasa saini ya fowadi Kevi Gameiro raia wa Ufaransa kwa wahasimu wao timu ya Sev...

Kevin Gameiro



Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kuinasa saini ya fowadi Kevi Gameiro raia wa Ufaransa kwa wahasimu wao timu ya Sevilla kwa dau linalosemekana kuwa ni pauni 28mil.

Gameiro 29 amesaini dili la miaka minne na akitarajiwa kuwa na vipimo vya afya mwishoni mwa wiki hii. Gameiro amepachika magoli 29 katika mashindano yote japo hakuweza kuitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa katika mashindano ya EURO.

Alijiunga na klabu ya Sevilla mwaka 2013 akitokea PSG na kuisaidia klabu hiyo kutwaa mataji matatu ya EUROPA.




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top