SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: HIGUAIN Afanyiwa vipimo vya Afya Juve.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Gonzalo Higuain amehusishwa kufanya vipimo vya afya kabla ya kukubaliana na klabu ya Juventus ya nchini Italia maslahi ya mkataba wake k...




Gonzalo Higuain amehusishwa kufanya vipimo vya afya kabla ya kukubaliana na klabu ya Juventus ya nchini Italia maslahi ya mkataba wake kwa kipindi chote atakachokuwapo klabuni hapo.

 Taarifa kutoka skysport Italy zimneripot kuwa kiungo mshambuliaji, raia wa Argentina na klabu ya napoli atasaini kandarasi ya kuitumikia klabu ya Juve endapo watakubaliana na meneja wa mchezaji huyo.

Higuain 28, alijiunga na klabu ya Napoli ya nchini Italy mwaka 2013 akitokea klabu ya Real madrid na kuibuka mfungaji bora wa ligi ya Italia maarufu kama Serie A kwa jumla ya magoli 36.

Mbali na Juve, Higuain pia amekuwa akiwaniwa na klabu kama vile, Arsenal pamoja na klabu ya Athletical Madrid ya nchini Hispania.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top