
MCHEZAJI kinda wa timu ya Manchester United
na timu ya taifa ya U-21 ya England, Marcos Rashford ameiongoza timu ya England
kwa ushindi mujarabu huku akiweka kambani Hat-trick dhidid ya timun ya vijana
ya Norway.
Mchezo huo ulikuwa ni wa kufuzu faionali za EURO kwa vijana
chini ya miaka 21 ulifanyika jana na NA Farshford kuiandika historia hiyo.

Post a Comment