
KLABU
ya Yanga imetahadharishwa kuwa makini siku watakapokwenda kucheza mechi ya ligi
kuu dhidi ya timu ya Ndanda ya Mtwara siku ya jumatano katika uwanja wa
Nangwanda Sijaona.
Tahadhari hiyo
imetolewa na msemaji wa klabu hiyo Idrisa Bandari alipofanya mahojiano na mtandao
wa www.charleskunji.blogspot.com leo
asubuhi.
Bandari alinukuliwa
akisema,, “Ni lazima tuwaambie ili wajue kwani wanaujua moto w3etu tuwapo
kwenye uwanja wa nyumabni”
“Ukitazama tayari
tumeshapoteza michezo miwili, dhidi ya Simba pamoja na ule wa Mtibwa Sugar,
hivyo Yanga tunasikitika kusema ni lazima tuendeleze historia yetu ya kuinyima
klabu hiyo pointi 3 kwenye uwanja wetu” Alisema.
Pamoja na timu hityo
kuwa na uzoefu walioupata kwenye michuano ya kimataifa, hata sisi tumejiandaa
pia, kaeni chonjo”\
Kwa upande wa kocha wa
klabu ya Yanga, Juma Mwanmbusi amesema ni lazima washinde michezo miwili ili
wajihakikishie nafasi ya kufanya vyema kwenye ligi
Post a Comment