SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: MANCHESTER UNITED WALINYEMELEA KOMBE LA EFL.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
VIUNGO , Maruan Fellain pamoja na Juan Mata ndio walioamua kuipeleka Manchester United kwenye hatua ya fainali baada ya kupachika mag...


VIUNGO, Maruan Fellain pamoja na Juan Mata ndio walioamua kuipeleka Manchester United kwenye hatua ya fainali baada ya kupachika magoli mawili. Kwa nunge dhidi ya klabu ya Hull City.

Ukiachilia mbali kombe la ngao ya hisani ambapo Manchester United iliitandika Leicester, hii inakuwa fainali ya pili kwa Mourinho tangu aanze kuifundisha ManU.


ManU sasa watasubiri matokeo kati ya Liverpool watakaokuwa na kibarua kizito cha kuwakabili Southampton leo kwenyw uwanja wa  St, Mary’s.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top