SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: LIVERPOOL YAPIGA 4-1 DHIDI YA STOKE, YAPAA MPAKA NAFASI YA PILI.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
LIVERPOOL wamerejea kwenye nafasi ya pili baada ya kuibamiza Stoke City, ushindi mujarabu wa bao 4-1, Awali, nafasi hiyo ilikuwa ik...



LIVERPOOL wamerejea kwenye nafasi ya pili baada ya kuibamiza Stoke City, ushindi mujarabu wa bao 4-1,

Awali, nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Manchester City ambao walipata ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Hull kwenye mchezo wa jana na kufikisha pointi 39.

Ushindi wa Liverpool unaifikisha liver kwenye nafasi ya pili huku wakiwa na pointi 40, pointi sita nyuma ya vinara wa ligi hiyo, Chelsea.


Magoli ya Liverpool yamewekwa kambani na Lallana, Firmino Srurrige na Imbula Wanga kujifunga wakati goli pekee la Stoke likifungwa na Walters.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top