
MZUNGUKO wa 18 wa VPL
utaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa viwanja tofauti.
Katika uwanja wa
Uhuru, jijini dar es salaam, vinara wa ligi hiyo, wekundu wa msimbazi Simba,
watakuwa wageni wa Ruvu shooting mchezo unaotarajia kuanza saa kumi za jioni.
Katika dimba la
Chamanzi complex, pembeni kidogo mwa jiji la Dar, wanatam tam, Azam FC watakuwa
na kibarua kizito cha kuchuana na wajerajera, Tanzania Prisons ya jijini Mbeya.
Azam watakuwa na
kibarua kigumu huku wakiwa na kumbukumbu ya kutoka kulitimua benchi lao la ufundi
lililokuwa na makocha wa kihispaniola.
Post a Comment