SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: LEICESTER CITY YAKATA RUFAA KADI NYEKUNDU YA VARDY.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KLABU ya Leicester City imekata rufaa kupinga kadi nyekundu aliyopewa mshambuliaji wao tegemezi, Jamy Vardy kwenye mchezo uliomalizika...




KLABU ya Leicester City imekata rufaa kupinga kadi nyekundu aliyopewa mshambuliaji wao tegemezi, Jamy Vardy kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya goli 2-2 dhidi ya Stoke City siku ya jumamosi.

Mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya England alitolewa nje dakika ya 28 na mwamuzi Craig Pawson baada ya kumfanyia faulo mbili mchezaji wa Stoke, Mame Diouf.

Taarifa kamili kutoka kwa mabingwa watetezi wa EPL zinasema timu imeamua kukata rufaa hiyo kwani kwamuzi hakuwa sahihi na wanaamini ya kuwa rufaa yao itasikilizwa siku chache za usoni.

Ikumbukwe ya kuwa Kwa Vardy, hii ni mara ya pili kupata kadi nyekundu kwa msimu huu.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top