
Tangu Jose Mourinho ajiunge na timu hiyo, Bastian Schweinsteiger amekuwa akifanya mazoezi pamoja na kikosi cha vijana wa miaka 23 licha ya kuitwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa premier.
Nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani, aliifungia timu yake ya taifa magol 24 katika mechi 121 alizocheza huku akiiongoza Ujerumani kutwaa kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.
Axel Tuanzebe ni kinda pekee wa miaka 18 aliyeitwa kwenye kikosi hicho kitakachoshiriki EUROPA huku kukiwa na nafasi finyu kwa vijana waliokuwa chini ya klabu hiyo tangu wakiwa na miaka 15.
Post a Comment