SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: UNAI EMERY AFANIKIWA KUMNASA JESSE WA REAL MADRID
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa wa ligi ya Ufaransa, klabu ya Paris st-Germain, wamefanikiwa kuinasa sahihi ya mchezaji wa Real Madrid Jesse Rodrguez kwa tham...

Mabingwa wa ligi ya Ufaransa, klabu ya Paris st-Germain, wamefanikiwa kuinasa sahihi ya mchezaji wa Real Madrid Jesse Rodrguez kwa thamani ambayo haiuwekwa wazi.

Jesse ametia kandarasi ya miaka mitano kuitumikia klabu hiyo ya nchini Ufaransa.
Jesse 23, raia wa Hispania alijiunga na mabingwa hao wa zamani wa Laliga tangu akiwa na miaka 14 na alikuwa kwenye kikosi kilichochukua ubingwa wa Uefa mwaka 2014 na 2016.

Jesse anaungana na aliyekuwa kocha wa klabu ya Sevilla Unai Emery aliyechukua nafasi ya Laurent Blanc ambae msimu wake ulikuwa umemalizika.

‘‘Litakuwa ani jambo jema sana kucheza chini ya mwalimu Unai Emery ambae aliiongoza klabu ya Sevila kwa mafanikio makubwa na naamini na mimi nitakuwa na mafanikio hapa PSG” Alisema Jesse.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top