SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: SAMATTA HUYOOO, AZIDI KUIKARIBIA LIGI YA EUROPA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars Mbwana Allly Samatta azidi kuchanja mbuga kuikaribia ligi ya UEFA EUROPA baad...






Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars Mbwana Allly Samatta azidi kuchanja mbuga kuikaribia ligi ya UEFA EUROPA baad ya klabu yake ya Genk kushinda goli 2-1 dhidi ya klabu ya Ireland Cork City.

Ushindi huo unaifanya klabu ya KRC Genk kufuzu kwa jumla ya go,i 3-1 baada ya Genk kushinda katika mchezo wa awali kwa goli 1-0 dhidi ya klabu hiyo ya Ireland.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top