Itakuwa aibu kubwa kwa klabu hiyo na meneja wake mpya
iwapo itashindwa kufuzu.
Kati ya klabu tano ambazo City huenda wakakutana nazo ni
klabu ya AS Roma pekee ambayo ilikutana nayo katika mechi za makundi mwaka
2014-15 ikipata sare katika uwanja wa Etihad na baadaye kupata ushindi wa mabao
2-0 katika uwanja wa Stadio Olimpiko kufuatia mabao ya Samir Nasri na Pablo
Zabaleta na hivyo basi kufuzu katika robo fainali ya michuano hiyo.
City haijawahi kucheza dhidi ya Steaua Bucharest, Monaco
ama Rostov, lakini imecheza na timu kutoka Romania, Ufaransa, Urusi katika
historia yao ya Ulaya.
Post a Comment