SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: MUSTAFI: OZIL ALINISHAWISHI KUJIUNGA NA THE GUNNERS.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MCHEZAJI wa   klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani, Mesut Ozil   amechanga kwa kiasi kikubwa kusajiliwa kwa Shkodran Must...


Shkodran Mustafi would add to Arsenal's defensive options


MCHEZAJI wa  klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani, Mesut Ozil  amechanga kwa kiasi kikubwa kusajiliwa kwa Shkodran Mustafin wa klabu ya Valencia.

Mustafi  24, anatarajiwa kuweka kandarasi ya miaka mitano kuitumikia klabu hiyo ya London inayonolewa na Arsene Wenger.

Mustafi anatarajia kujiunga na wenzake, Per Mertesacker na Ozil na kuongeza kuwa aina ya uchezaji wa klabu hiyo ya London, ni sababu nyingine iliyomfanya ajiunge nao.

 Mesut Ozil has helped persuade Mustafi to join the Gunners

 

“Sijamwona PER kwa muda mrefu kwa sababu aliacha kuichezea timu yake ya taifa lakini nimeongea na Mesuit Ozil” Mustafi aliiambia skysports.

“Aliniambia kila kitu nilichokuwa nahitaji kufahamu, kila kitu kilikuwa sawa, hivyo nilishawishika kwa haraka zaidi, wala haikunichukua muda” Alisema.

“Nimekuwa naipenda sana klabu ya Arsenal, napenda staili yao ya uchezaji, ni tofauti kabisa na mpira wa England”

“Mpira wa hapa ni kama wa Hispania na wa nchini kwetu Ujerumani, ile system ya kuweka mpira chini”

Mustafi alianza kariya ya soka na timu ya vijana ya Hamburg na Everton kabla ya kujiunga na timu ya wakubwa ya Sampodoria na kujiunga na Valencia mwaka 2014.

 

 



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top