
Mshambuliaji wa klabu
ya Villareal, Roberto Soldado atakaa njee kwa jumla ya miezi sita baada ya
kupata majeraha ya mifupa huku ikiwa imebaki wiki moja kuanza kwa msimu mpya wa
ligi.
Soldado,31, aliyejiunga
na klabu ya Villareal ya Hispania mwaka jana baada ya kuachwa na timu ya
Totenham ya Wingereza, alianguka vibaya wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya
klabu ya FC Portoya Uren, mchezo uliochezwa siku ya jumamosi.
Soldado anatarajiwa
kufanyiwa upasuaji ambao huenda ukamweka nje ya uwanja kwa takribani miezi sita
Post a Comment