
GARY Lineker imembidi atomize ahadi
yake ya kutangaza Show ya kwanza ya ‘Match of the Day’ ya BBC msimu huu akiwa
amevaa chupi ya kiaina tu ‘Bukta’ tu ilikuwa baada ya Leicester kutwaa ubingwa
waEPL msimu uliopita.
Lineker alianza show kwa kuvaa Bukta tofauti
na chupi waliyomuandalia, Wachambuzi wenzake Ian Wright na Alan Shearer
walionekana wakicheka nyuma yake wakati akifungua Matangazo.
Gary anatakiwa awaombe
radhi mashabiki kwa vile haikuwa Chupi kama alivyoahidi msimu uliopita kwamba,
endapo Leicester City wakitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ya England, angefanya
kipindi cha kwanza msimu mpya akiwa amevaa Chupi.
Kwa bahati mbaya kwakwe, Leicester
walifanya maajabu na kushinda taji la EPL, hivyo ilimlazimu jana atimize ahadi
yake kwenye show ya kwanza ya msimu mpya.
Lineker akipozi na boxer yake kubwa ya Leicester City wakati wa show ya
Match of the Day na alifanya hivyo baada ya mechi ya Manchester City dhidi ya
Sunderland kumalizika.
Lakini baada ya kuona malalamiko kwa watu mbalimbali juu ya kile alichokivaa Lineker, hichi ndicho alichokijibu...
Had a few complaints saying I should've worn pants not boxers. My tweet said undies. Boxers are undies. That was embarrassing enough thanks.
Post a Comment