Mpango huo ulipangwa
kufanyika tangu mwishoni mwa mwaka 2011 - ikiwa ni pamoja na maandalizi ya
London 2012 hadi mwaka 2014 katika michezo ya Olimpiki hadi mwezi Agosti mwaka
2015.
Uchunguzi uliofanywa
na Wakala wa dawa za kusisimua misuli Ulimwenguni ( WADA) imeitaka Urusi
kupitia waziri wake wa Michezo kusimamia kwa kuchunguza suala hilo la matumizi
ya dawa hizo kwa kuchukua sampuli ya haja ndogo (mkojo) kwa wanariadha wake.
IOC watatoa maamuzi
leo Jumanne juu ya matokeo ya vipimo kabla ya Michuano ya Olimpiki, ambayo
inatarajia kuanza tarehe 5 Agosti mjini Rio Brazil.
Bbc.
Post a Comment