Majina hayo 10
yametangazwa baada ya kufanyika mchujo wa majina ya wachezaji 37 ambao walikuwa
wamependekezwa awali na kupigiwa kura, ambapo UEFA imetaja majina ya wachezaji
10 waliofanikiwa kuingia katika kumi bora ikiwa majina 27 ya wachezaji
yaliingia katika kinyanga’nyiro hicho.
Majina ya wachezaji hao kumi ni
Gareth Bale – Real Madrid,
Gian-luigi Buffon -Juventus,
Antoine Griezmann - Atletico Madrid,
Toni Kroos - Real Madrid,
Lionel Messi -Barcelona,
Thomas Müller -Bayern Munich,
Manuel Neuer - Bayern Munich,
Laveran Ferreira Pepe - Real
Madrid,
Cristiano Ronaldo -Real Madrid,
Luis Suarez –Barcelona.
Post a Comment