Murray hajacheza tangu
amshinde Milos Raonic katika Mashindano ya Wimbledon yaliyofanyika hivi
karibuni akiwa ni mwingereza aliyeshinda michuano ya Davis Cup mwishoni mwa
wiki.
Murray ni mshindi wa mara
tatu michuano ya Rogers Cup na atafanya maandalizi katika mji wa Mallorca
Hispania kwaajili ya kutetea taji lake la Olimpiki mjini Rio mwezi ujao.
Post a Comment