
iku chache baada bodi ya VPL kutoa zawadi kwa wachezaji
waliofanya vizuri katika msimu wa 2015-2016, ikiwa ni takribani siku moja, bodi
hiyo imekwisha weka hadharani ratiba ya Ligi kuu Tanzania bara maarufu kwa jina
la VPL na kutarajiwa kuanza siku ya tarehe 20 mwezi Agost.
Mchezo wa ufunguzi wa ligi maarafu kama Ngao ya Hisani,
utapigwa mnamo tarehe 17, siku tatu kabla ya kuanza rasmi kwa ligi kuu mchezo
utakaozikutanisha klabu Bingwa wa VPL amabe ni Young African wakikipiga na
mshindi wa kombe la FA/ASFC, akiwa ni Yanga na hivyo kulazimika kucheza na
mshindi wa pili katika ligi ambao ni klabu ya Azam FC.
Wekundu wa msimbazi Simba, watafungua pazia kwa kucheza na
klabu ya jijini Mtwara, Ndanda FC wakati klabu ya Yanga wao watafungua pazia la
VPL tarehe 31 kwa kukipiga na JKT RUVU.
Kwa michezo Zaidi ya VPL angalia jedwali lifuatalo.
Post a Comment