Droo ya Raundi ya 3 ya UCL ilifanyika na kuhusisha Miamba
ya Ajax, Steaua, Olympiacos, Shakhtar, Anderlecht na Fenerbahçe. Monaco
iliyomaliza Nafasi ya 3 kwenye Ligi 1 huko ufaransa , na Timu za Pili za Ligi
za Nchi za Ulaya ambazo ziko Nafasi za 7 hadi 15 kwenye Listi ya Ubora ya Nchi
Wanachama wa UEFA.
Droo ya Pili ni kwa timu za Mabingwa iliyohusisha
Washindi 17 kutoka Raundi ya Pili ya Mtoano ya UCL pamoja na Mabingwa wa
ugiriki, Jamhuri ya Czech na Romania.
Washindi wa Raundi ya 3 ya Mtoano wanasonga mbele na kuingia Raundi ya
Mwisho ya Mchujo ambayo ni Hatua moja kabla ya Makundi. Timu zitazoshindwa
Raundi ya 3 ya Mtoano zitatupwa kwenye Hatua ya Raundi ya Mwisho ya Mchujo wa
UEFA ligi barani ulaya.
si ndo na akina SAMATAA au hii ni UEFA champions league.
ReplyDelete