Mechi za Mashindano
haya zitachezwa huko Suita City Football Stadium Mjini Osaka na International
Stadium Yokohama, Mjini Yokohama ambako pia ndipo itachezwa Fainali .
Hadi sasa Klabu 3
zimeshathibitika kucheza michuano hiyo ambazo ni Real Madrid, Mabingwa wa
Ulaya, waliotwaa Ubingwa wao Mwezi Mei, na Timu nyingine ni Club America ya
Mexico na Auckland City FC ya Mexico Bara la Oceanic ambazo zilitwaa Ubingwa
wao Mwezi Aprili.
Post a Comment