SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Arjen Robben Nje kwa majuma 6.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Winga machachari wa kimataifa, anayekipiga katika klabu ya Bayen Munich atakosa mechi za kwanza katika msimu mpya wa 2016-2017, baa...



Winga machachari wa kimataifa, anayekipiga katika klabu ya Bayen Munich atakosa mechi za kwanza katika msimu mpya wa 2016-2017, baada ya kutupwa nje  kwa maumivu ya misuli inayomsumbua.
Robben, 32, Mholanzi, alikosa miezi miwili ya mwisho wa msimu uliopita na maumivu yaleyale lakini pia kuweza kusukumwa nje ya kikosi baada ya kupata majeraha yaleyale.
Katika msimu uliomalizika, Robben amecheza michezo 15 pekee, na hivyo anatarajiwa kuukosa mchezo wa super cup dhidi ya mahasimu wao klabu ya Borrusia Dotimund utakaofanyika tarehe 14 ya mwezi agosti.

Mabingwa wa ligi ya Bundasijga, klabu ya Bayen Munich watacheza mechi yao ya kwanza ya ligi mnamo tarehe 26 mwezi agosti, dhidi ya klabu ya Werder Blemen

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top