SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Raonic nae achomoa Kwenda RIO.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mcanada anayeshikilia namba saba katika viwango vya tebisi duniani, Milos Raonic amejitoa kushiriki katika mashindano ya Olympics y...



Mcanada anayeshikilia namba saba katika viwango vya tebisi duniani, Milos Raonic amejitoa kushiriki katika mashindano ya Olympics yanayotarajiwa kufanyika nchini Brazil mwezi agosti sababu iliwa ni tishio la virusi vya ZIKA ambavyo vimekuwa ni tishio kubwa sana.
Raonic mwenye umri wa miaka 25, alifungwa na Andy Murray katika michuano ya Wemblydom iliyomalizika jumapili iliyopita.
‘‘Ninafanya haya maamuzi kwa sababu mbalimbali za kiafya ikiwemo hii hali ya ZIKA ambayo imekuwa ni tatizo sana” Alisema Raonic.

Zaidi ya wachezaji wa kiume 20 wamejitoa katika mchezo wa golf katika mashindano hayo sababu ikiwa ni virusi vya ZIKA.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top