SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Mwonekano Mpya Wa Lionel Messi.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati vilabu vikijiandaa rasmi kwa msimu mpya wa ligi, haswa zile timu kubwa zilizokutana kule nchini china nao wachezaji hawako nyu...


Wakati vilabu vikijiandaa rasmi kwa msimu mpya wa ligi, haswa zile timu kubwa zilizokutana kule nchini china nao wachezaji hawako nyuma, kila mmoja anatafuta staili yake itakayokuwa na mwonekano tofauti kwa mashabiki wake ili tu kuweza kuwavutia au hata kuonekana tofauti na siku zote.

Ukiwa kama mchezaji, hutakuwa na mabadiliko makubwa sana hasa wengi huwa wanajaribu kuonyesha utofauti kwenye style mbalimbali za unyoaji wa nywele mifano mizuri ni kama tulivyoweza kumzoea Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Maluan Fellain kwa kufuga nywele nyingi wakati wachezaji wengine huwa wanapenda kuweka style mbalimabali ili tu kuonyesha utofauti haswa wawapo uwanjani.


Hayo yote yakiwa yanaendelea, nae mchezaji bora mara tano wa Ballon D ‘or Lionel Messi naye ameamua kutafuta style yake ambayo huenda itawavutia mashabiki wake au laa.


 Kama ulipitwa na baadhi ya picha zake Messi walipokuwa safarini kwenda nchini England kucheza huko watakapokuwa na michezo ya kirafiki, hizi ni baadhi ya picha zake.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top