
Colo Toure amesajiliwa na klabu ya Celtic kwa uhamisho huru akitokea klabu ya
Liverpool. Colo Toure, Raia wa Ivory Coast alikuwa anacheza katika ligi ya EPL
na timu ya Liverpool kwa msimu wa miaka mitatu na hivyo kusaini kandarasi ya
kuichezea klab ya Celtic kwa kandarasi yam waka mmoja.

Post a Comment