
Hassan alitakiwa
kufikishwa mahakamani baada ya kumshambulia mpiga picha wa polisi baada ya
mchezo kumalizika.
Mpiga picha huyo
alisoma ujumbe huo katika mtandao wa facebook na kuondoa kesi hiyo dhidi ya
mshambuliaji huyo wa zamani ambaye kwa sasa ni kocha wa klabu ya Al-Masry.
''Maneno yake
yalinifanya nijisikie vibaya sana''Reda Abdelmaged alisema.
Tukio hilo lilitokea
baada ya mchezo kati ya Al Masry na Ghazl Al Mahalla uliomalizika kwa suluhu ya 2-2 ambapo kulikuwa na mchuano
kati ya pande hizo mbili.
Licha ya kesi hiyo
kuondolewa Hassan ataendelea kubaki kizuizini mpaka muendesha mashitaka afute
kesi hiyo.
Post a Comment