Klopp alijiunga na
Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15
ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.
''Uongozi wake
utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu'' ,alisema mmiliki wa Liverpool.
Klopp aliifikisha Liverpool katika fainali ya League Cup pamoja na
fainali ya Europa League msimu uliopita.
Raia huyo wa
Ujerumani mwenye umri wa miaka 49 aliisaidia Borussia Dortmund kushinda mataji
mawili ya Bundesliga pamoja na kucheza fainali ya vilabu bingwa Ulaya 2013.
Post a Comment