KARATYA KWANZA YA TIMU YA YANGA.
\\ |
VS
Timu pekee kutoka nchini
Tanzania watajitupa leo uwanjani kukipiga na timu ya FC MOBEJAIA ya nchini
Algeria katika hatua ya makundui ya kombe la shirikisha barani Africa.
Yanga ikiwa ni timu pekee katika ukanda wa Africa Mashariki, wapo kundi A ambalo lonazihisisha timu za TP mazembe ya nchini Congo, FC Medeamaya nchini Ghana FC Mobejaiay Algeria pamoja na Yanga wenyewe kutoka Tanzania.
Katika mchezo wa awali wa kundi hili TP mazembe wameibuka kifua mbele baada ya kumbana mbavu FC Medeana ya nchini Ghana kwa ushindi mujarabu wa magoli matatu kwa moja na hivyo kuongoza kundi hilo kwa pointi tatu na magoli matatu huku wakiwa wamefungwa goli moja pekee.

Yanga wanaingia katika mchezo
huu wakiwa na kumbukumbu ya kutokufanya vyema dhidi ya timu kutoka ukanda wa
kaskazi yaani timu za uarabuni.
Yanga walitolewa na
timun kutoka Misri AL AHLY kwa jumla ya magoli matatu kwa mawili.
Katika mchezo wa
nyumbani hapa Tanzania, yanga walilazimishwa sare ya bao moja kwa mija na
katika mechi ya ugenini wakaweza kufungwa magoli mawili kwa moja.
Kila la kheri yanga
kuelekea mechi yao dhidi ya waarabu wa Algeria.
Post a Comment