SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: Diamond platnumz
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
         Aikosa tuzo huko MAREKANI Na Charles kunji. Tuzo za   BET   zinaendelea kutolewa  leo usiku Los Angeles Marekani   amb...

         Aikosa tuzo huko MAREKANI






Na Charles kunji.

Tuzo za BET zinaendelea kutolewa leo usiku Los Angeles Marekani ambapo tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Africa ama msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika ilichukuliwa na DJ Black Coffee wa South Africa.
Akiongea na millard ayo Dakika 8 kabla ya tuzo kutolewa,  Diamond Platnumz akaongelea matumaini yake juu ya tuzo hiyo ambayo ilikuwa ikishindaniwa na A.K.A, Black Coffee, Casper Nyovest (South Africa), Yemi Alade, Wizkid (Nigeria), Mz Vee (Ghana)  na Serge Beynaud (Ivory Coast)
Lakini baada ya matokeo Platnumz alisweza kukubali na kuahidi kuendelea kijituma ili siku moaj aweze kuafanya vyema.
Tuzo nyingine kwa upande wan je ya Africa zitatolewa leo usiku kwani zile za upande wa Afrika tayari zimekwisha tolewa.






About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top