SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: MECHI ZA SIMBA, LYON KUCHEZWA TAIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MECHI mbili za raundi ya sita za ligi kuu Tanzania bara, maarufu kama VPL kati ya Simba na Majimaji na African Lyon na Kagera Sugar sasa ...

Image result for tanzania main stadium images

MECHI mbili za raundi ya sita za ligi kuu Tanzania bara, maarufu kama VPL kati ya Simba na Majimaji na African Lyon na Kagera Sugar sasa zitachezwa kwenye uwanja wa taifa badala ya uwanja wa Uhuru kama ilivyokuwa imepangwa.

Maamuzi hayo yamekuja siku chache baada ya klabu ya Simba kutoa malalamiko kuwa standard ya sehemu ya kuchezea ya uwanja huo kutokuwa sawa.

Hivyo, shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limeamua kusitisha kwa muda kutumia uwanja wa Uhuru katika kipindi hichi ambapo kutakuwa na marekebisho ya sehemu ya kuchezea ambayo ni ya nyasi bandia [artificial turf]

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top