SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: VIDEO. GOLI LA SAMATTA LILIVYOIPA USHINDI GENK.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KRC GENK walikuwa ugenini kucheza na Eupen kwenye ligi kuu ya nchini Ubelgiji mchezo uliomalizika kwa ushindi wa goli 1-0 Goli la ...
Samatta goal 1


KRC GENK walikuwa ugenini kucheza na Eupen kwenye ligi kuu ya nchini Ubelgiji mchezo uliomalizika kwa ushindi wa goli 1-0






Goli la Geenk limefungwa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta mnamo dakika ya 82 akiunganisha mpira wa kona.


Kwa ushindi huo Genk imeondoka na pointi zote 3 na hivyo kuwa na jumla ya pointi 31 huku wakibaki nafasi ya 9 ya msimamo wa ligi hiyo.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top