SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: RAJAB ZAHIR, Ajiunga na Mbeya city.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klbu ya Mbeya City kupitia account yake rasmi ya Instagram, imethibitisha kumsajili Rajab Zahir kutoka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bar...

dbd

Klbu ya Mbeya City kupitia account yake rasmi ya Instagram, imethibitisha kumsajili Rajab Zahir kutoka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC.
Kikosi hicho cha Kinnah Phiri hakijaweka wazi usajili wa Zahir ni wa mkataba wa wa muda gani wala kiasi walichotumia katika uhamisho wa kuinasa saini ya mchezaji huyo.
Rajabu Zahir alishindwa kutamba kwenye klabu ya Yanga kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza chini ya kocha mholanzi Hans Van Pluijm.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top