SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: GENK YA SAMATTA YAMTIMUA KOCHA WAO PETER MAES.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KLABU ya KRC Genk, kupitia tovuti yao rasmi leo imetangaza kuachana na kocha wao Pete Maes kutokana na kuwa na matokeo mabovu kwa siku ...
peter-maes


KLABU ya KRC Genk, kupitia tovuti yao rasmi leo imetangaza kuachana na kocha wao Pete Maes kutokana na kuwa na matokeo mabovu kwa siku za hivi karibuni.

Genk ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samata anacheza, iko nafasi ya 9 ikiwa imejikusanyia jumla ya pointi 25.

Maamuzi hayo yanakuja siku moja kabla ya Genk kuwakaribisha mahasimu wao KAA Gent kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Crystal Arena.

Maes alijiunga na Genk mwaka 2015 akitokea klabu ya Lokeren ya nchini Ubelgiji.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top