SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: VIDEO: GOLI LA POGBA LILIVYOWAPA FURAHA MASHABIKI WA UFARANSA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
SIKU chache zilizopita tayari kulishaanza kuibuka kwa maneno ya vijembe kwa kocha wa Ufaransa, Tayari yalishaanza maneno kwa kocha w...


Manchester United midfielder Paul Pogba struck the winning goal from range in the first-half

SIKU chache zilizopita tayari kulishaanza kuibuka kwa maneno ya vijembe kwa kocha wa Ufaransa, Tayari yalishaanza maneno kwa kocha wa Ufaransa Didier Deschamps kuwa uwezo wa Paul Pogba umeporormoka sana tangu ajiunge na Mnchester United kwa dau nono la Pauni miln 89.
 France celebrate taking the lead against Holland in the World Cup group game in Amsterdam

Huenda hayo yakapotea baada ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 kuipatia timu yake ya taifa goli la ushindi, walipokutana na timu ya taifa ya Uholanzi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018

Paul Pogba alifunga bao hilo kwa umbali wa mita 30 ambalo lilimshinda golikipa wa Everton Maarten Stekelenburg licha ya kujaribu kuupangua mpira huo.

Golikipa huyo mdachi alipambana kadri alivyoweza ili kuzuia shuti la Pogba lakini hakuweza kufanya kile ambacho alitarajia kukifanya na hatimaye kuzishuhudia nyavu zake zikicheza.

Sasa huenda mashabiki wa Manchester United wakawa na matumaini mapya ya kumuona Pagba akifunga magoli mengine kama hayo akiwa kwenye klabu yake ya Old Trafford

 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top