
Yanga ilianza kuingia nyavuni dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na mfungaji Kaseke baada ya kumalizia mpira wa Msuva uliogonga mwamba katika adhabu ya penati.
Goli la pili na la tatu limefungwa na Amis Tambwe akifunga goli la pili dakika ya 75 kabla ya kuhitimisha ushindi wa goli 3 dakika ya 85.
Matokeo ya mechi nyingine
Mbeya City 1-2 Azam
Ruvu Shooting 1-0 JKT Ruvu
Mwadui FC 2-2 Stand Unied
Ndanda FC 0-0 Kagera Sugar
Post a Comment