
Manchester
United v Manchester City, Jose Mourinho v Pep Guardiola. Maadui wakubwa wenye
misimamo tofauti katika kariya ya mpira.
Timu zote
mbili zikiwa na asilimia 100 za kufanya
vizuri msimu huu baada ya kufanya usajili wa maana, zinakutana wikiendi hii
katika uwanja wa Old Trafford kuanzia majira ya saa tisa za jioni kwa saa za
Africa mashariki wakiwa na imani ya kufanya vyema.
Lakini
kueleka mchezo huo kama unataka kuchagua vikosi vya timu hizo vitakavyoanza
siku ya mchezo huo utakumbana na ugumu kulingana na wachezaji wanaounda timu
hizo.
Raheem
Sterling au Marcus Rashford? David Silva au Wayne Rooney? John Stones au Eric
Bailly? Ni maswali yanayobaki bila majibu.
Kama mdau
wa mpira, chagua kikosi chako ukipendacho ukuiona kama kinafaa mjulishe na
mwenzako halafu msubiri saa zipite ili siku rasmi ya mchezo huo ifike.
Post a Comment