SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: RUFAA YA TIMU ZA REAL MADRID PAMOJA NA ATLETICO MADRID JUU YA USAJILI ZIMETUPILIWA MBALI NA FIFA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Na Darius Deogratius. TIMU za Real Madrid na Atletico Madrid, zimetupiliwa mbali rufaa zao za kufungiwa kusajili na FIFA kwa misimu m...
Breaking news



Na Darius Deogratius.

TIMU za Real Madrid na Atletico Madrid, zimetupiliwa mbali rufaa zao za kufungiwa kusajili na FIFA kwa misimu miwili ijayo.

Hii ni breaking news tu na habari kamili tutakuwekea kwenye mtandao wako bora a www.petishi.blogspot.com.

Endelea kuwa nasi kwa matukio mbalimbali ya kimichezo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top